Baada ya kutupa audio msanii Kala Jeremiah ameona ni vizuri tukaitizama pia video yake ya WanaNdoto ambayo amemshirikisha Miriam Chirwa.Video imeongozwa na Pablo huku audio ikifanywa na Zesti.
Post a Comment