Becka Title ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Sitaki Shida”, amewashirikisha wasanii Manengo na Blood Gazza. Video hii imefanyika mkoani Mwanza na kuongozwa na Vipper.
Post a Comment