Wasanii walivyotumbuiza Dodoma kumuaga Mwenyekiti mstaafu wa Ccm " Jakaya Kikwete " ambapo msanii Jacqueline Wolper naye akarudi kundini........
Wasanii wa Bongo Movie na muziki wa kizazi kimpya wamesema watamkumbuka sana Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete kwa msaada aliyowapatia kipiti cha utawala wake akiwa Rais na Mwenyekiti wa chama hicho.
Post a Comment